sw_tn/rev/14/06.md

13 lines
410 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli Unganishi:
Yohana anaanza kuelezea sehemu ifuatayo ya maono yake. Huyu ni malaika wa kwanza kati ya watatu wanaotamkia dunia hukumu.
# kila taifa, kabila, lugha, na watu
Hii humaanisha watu kutoka kila kabila.
# Kwa maana muda wa hukumu yake umekaribia
Kuwepo katika wakati wa sasa unazungumziwa kama umekuja. Wazo la "hukumu" linaweza kuoneshwa na kitenzi. "sasa ni muda wa Mungu kuhukumu watu"