sw_tn/rev/12/13.md

21 lines
460 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# joka alitambua kuwa ametupwa chini kwenye nchi
"joka alitambua ya kwamba Mungu amemtupa nje ya mbingu na kumtuma duniani"
# alimfuata mwanamke
"alimfukuza mwanamke"
# joka
Hili lilikuwa tambaazi kubwa kali, kama mjusi. Kwa wayahudi ilikuwa ni alama ya uovu na machafuko. Joka linatambulika pia katika mstari wa 9 kama "ibilisi au Shetani"
# wakati, nyakati na nusu wakati
"miaka mitatu na nusu"
# nyoka
Hii ni njia nyingine yakumaanisha yule joka.