forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
864 B
Markdown
21 lines
864 B
Markdown
|
# Sasa
|
||
|
|
||
|
Yohana anatumia neno hili kubadili mwenendo wa maelezo yake kutambulisha kitu kingine kinachotokea katika maono yake.
|
||
|
|
||
|
# joka
|
||
|
|
||
|
Hili lilikuwa tambaazi kubwa kali, kama mjusi. Kwa wayahudi ilikuwa ni alama ya uovu na machafuko. Joka pia linatambulika katika mstari wa 9 kama "ibilisi au Shetani"
|
||
|
|
||
|
# Kwa hiyo haikuwepo tena nafasi mbinguni kwa ajili yake na malaika zake
|
||
|
|
||
|
"Kwa hiyo joka na malaika wake hawakuweza tena kukaa mbinguni"
|
||
|
|
||
|
# Joka mkubwa ... akatupwa chini katika dunia ... na malaika zake wakatupwa chini pamoja naye
|
||
|
|
||
|
"Mungu alilitupa joka na malaika wake toka mbinguni na kuwatuma duniani"
|
||
|
|
||
|
# ule nyoka wa zamani aitwaye ibilisi au Shetani ambaye hudanganya dunia nzima
|
||
|
|
||
|
Hii taarifa inaweza kutolewa katika sentesi tofauti baada ya taarifa ya kutupwa duniani. "Hilo joka ni nyoka wa zamani anaye danganya ulimwengu. Anaitwa ibilisi au Shetani"
|
||
|
|