sw_tn/rev/11/06.md

13 lines
566 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kufunga anga ili kwamba mvua isinyeshe
Yohana anazungumzia mbingu kama vile ina mlango unaoweza kufunguliwa na kufungwa ili mvua isipite. "kuzuia mvua isidondoke toka mbinguni"
# kuipiga nchi kwa kila aina ya pigo
Yohana anazungumzia mapigo kana kwamba ni kijiti ambacho mtu anaweza kuipigia dunia. "kusababisha kila aina yamatatizo kutokea duniani"
# shimo lisilo na mwisho
Hili ni shimo refu sana. Maana zinazowezekana ni 1)shimo halina mwisho chini; inaendelea kwenda chini zaidi milele au 2) shimo ni refu sana hata linakuwa kana kwamba halina mwisho.