sw_tn/psa/147/006.md

13 lines
390 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahwe huwainua waliokandamizwa
Mwandishi anazungumzia yahwe kuwapa heshima wale walio kandamizwa kana kwamba Yahwe alikuwa akiwainua kutoka ardhini. "Yahwe huwapa heshima walio kandamizwa"
# huwaleta waovu chini ardhini
Mwandishi anamzungumzia Yahwe kuwaaibisha waovu kana kwamba Yahwe alikuwa akiwalazimisha kulala ardhini. "huwaaibisha waovu"
# kwa kinubi
"huku wakicheza kinubi"