sw_tn/psa/069/024.md

21 lines
358 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mwaga gadhabu yako juu yao
Mungu kuonesha hasira yake inaelezwa kana kwamba aliimwaga juu ya adui zake kama maji.
# gadhabu
"hasira kali" au "hasira'
# ukali wa hasira yako
"hasira yako ya moto" au "hasira yako kali"
# uwapite
Hukumu ya Mungu kwa adui zake unaelezwa kana kwamba aliwafukuza na kuwashika.
# iwe ya kuhuzunisha
"kuwa imetelekezwa"