# Mwaga gadhabu yako juu yao Mungu kuonesha hasira yake inaelezwa kana kwamba aliimwaga juu ya adui zake kama maji. # gadhabu "hasira kali" au "hasira' # ukali wa hasira yako "hasira yako ya moto" au "hasira yako kali" # uwapite Hukumu ya Mungu kwa adui zake unaelezwa kana kwamba aliwafukuza na kuwashika. # iwe ya kuhuzunisha "kuwa imetelekezwa"