sw_tn/psa/038/003.md

17 lines
649 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Daudi anaendelea kueleza kile amabacho hatia na aibu yake inavyoufanya mwili wake. Anatumia kauli iliyokuzwa kuweka mkazo madhara ya somo hili.
# hakuna afya katika mifupa yangu kwa sababu ya dhambi yangu
Hapa "mifupa yangu" inawakilisha mwili wa mwandishi. "mwili wangu wote unaugonjwa kwa sababu ya dhambi yangu"
# udhalimu wangu unanilemea
Udhalimu wa mwandishi unazungumziwa kana kwamba ni mafuriko ya maji yanayomfunika. "udhalimu wangu unanifunika kama mafuriko"
# ni mzigo mzito sana kwangu
Udhalimu wa mwandishi unazungumziwa kana kwamba ni mzigo asioweza kuinua. "ni kama mzigo ulio mzito sana kwangu kunyanyua"