sw_tn/psa/037/039.md

17 lines
359 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Yahwe
"Yahwe huokoa watu wenye haki"
# wenye haki
"watu wenye haki"
# huwasaidia ... huwaokoa ... huwaokoa
Wazo hilo hilo linarudiwa kwa njia tofauti kusisitiza kuwa Yahwe ni wa kutegemewa na anaweza kutoa msaada.
# wamemkimbilia
Kwenda kwa Yahwe kunazungumziwa kama kumkimbilia. "wameenda kwake kwa ajili ya ulinzi"