sw_tn/psa/018/040.md

21 lines
603 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sehemu za nyuma za shingo za adui zangu
Hii inaashiria ushindi juuya maadui wa mtu. "ushindi juu ya adui zangu"
# Nimewaangamiza wale wanaonichukia
"Niliwashinda wale walionichukia" au "Niliwaangamiza kabisa wale walionichukia"
# lakini hakuwajibu
Hii inamaanisha Yahwe hakutoa msaada wowote. "lakini hakuwasaidia"
# Niliwapiga hadi vipande kama vumbi mbele ya upepo
Adui wa mwandishi wa zaburi wanalinganishwa na vumbi kuonesha jinsi alivyowashinda.
# Nikawarusha nje kama tope katika mitaa
Adui wa mwandishi wa zaburi wanalinganishwa na tope la kwenye mitaa kuonesha jinsi alivyowashinda.