sw_tn/psa/014/004.md

13 lines
466 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwani hawajui chochote ... ambao hawamwiti Yahwe?
Swali hili la balagha linaulizwa kuongeza msisitizo. Linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Wanatenda kana kwamba hawajui chochote ... wasiomwita Yahwe. Lakini wanajua wanachokifanya!"
# wale wanaotenda udhalimu
Hapa "udhalimu" unamaanisha matendo maovu. "wale wwnye tabia mbovu.
# wale wanaowala watu wangu
Hii inamaanisha wale wanaofanya vitu viovu na wanawaangamiza watu wa Mungu kana kwamba wanakula chakula.