forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
936 B
Markdown
25 lines
936 B
Markdown
|
# Muwe na nia moja kama aliyokuwa nayo Kristo
|
||
|
|
||
|
"Kuwa na nia moja ambayo Kristo Yesu alikuwa nayo" au "fikirieni vile ambavyo Kristo Yesu alivyofanya"
|
||
|
|
||
|
# hakujali kuwa sawa na Mungu kuwa kitu cha kushikamana nacho
|
||
|
|
||
|
hapa Paulo anazungumzia usawa na Mungu Baba kana kwamba kulikuwa na kitu ambacho Kristo angeweza kushikilia kwenye mikono yake.
|
||
|
|
||
|
# alijishusha mwenyewe
|
||
|
|
||
|
Paulo anamzungumzia Kristo kana kwamba alikuwa kitu cha kubebea ili kusema kwamba Kristo alikataa kutenda katika nguvu ya uungu wake katika kipindi huduma yake duniani
|
||
|
|
||
|
# Alijitokeza katika mfano wa mwanadamu. Alinyenyekea
|
||
|
|
||
|
"Maneno "alijitokeza...kama" ni lahaja ya "kuwa." "Kuwa mwanadamu, alinyenyekea"
|
||
|
|
||
|
# kuwa mtumwa hadi kifo
|
||
|
|
||
|
Paulo hapa anazungumzia kifo katika njia ya umbo. Anayetafsiri naweza kuielewa aidha kama mfano wa eneo (Kristo alipitia kifo) au kama mfano wa mda (Kristo alitii hata mpaka wakati alipokufa).
|
||
|
|
||
|
# kifo cha msalaba
|
||
|
|
||
|
"kufa kwenye msalaba"
|
||
|
|