sw_tn/num/29/12.md

25 lines
583 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa uumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya
# siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba
"siku ya 15, ya mwezi wa 7, ya kalenda ya Kihebrania"
# mtakuwa na kusanyiko takatifu
"kusanyikeni ili kumwabudu na kumheshimu BWANA"
# mtazitunza hizo sikukuu kwa ajili ya BWANA.
"Mtazikumbuka hizo sikukuu kwa ajili ya BWANA"
# sadaka iliyotengenezwa kwa moto
"mtaiteketeza kwenye madhabahu"
# mafahari wachanga kumi na tatu, kondoo waume wawili, na wanakondoo waume kumi na nne
mafahari wachanga 13, kondoo waume 2, na wanakondoo waume 14.