# Taarifa kwa uumla BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya # siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba "siku ya 15, ya mwezi wa 7, ya kalenda ya Kihebrania" # mtakuwa na kusanyiko takatifu "kusanyikeni ili kumwabudu na kumheshimu BWANA" # mtazitunza hizo sikukuu kwa ajili ya BWANA. "Mtazikumbuka hizo sikukuu kwa ajili ya BWANA" # sadaka iliyotengenezwa kwa moto "mtaiteketeza kwenye madhabahu" # mafahari wachanga kumi na tatu, kondoo waume wawili, na wanakondoo waume kumi na nne mafahari wachanga 13, kondoo waume 2, na wanakondoo waume 14.