sw_tn/num/15/20.md

17 lines
507 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mikate yenu ya kwanza
yaweza kumaanisha 1) mazao ya kwanza watakayokusanya wakati wa mavuno 2) Mikate ambayo itatengenezwa kutoka kwenye mavuno yao ya kwanza.
# mkate
inapoitwa mkate mmoja ina maana kuwa walioka mkate kwanza
# mtaiinua kwanza kama sadaka ya kuinuliwa
"kuiinua kama sadaka"
# sadaka iloiyoinuliwa kutoka mahali pa kupuria nafaka.
Sadaka hii inafanywa kuwa sadaka kutoka mahali pa kupuria nafaka kwa sababu hapo ndipo mahali ambapo nafaka hutenganishwa na sehemu zingine za mmea.