# mikate yenu ya kwanza yaweza kumaanisha 1) mazao ya kwanza watakayokusanya wakati wa mavuno 2) Mikate ambayo itatengenezwa kutoka kwenye mavuno yao ya kwanza. # mkate inapoitwa mkate mmoja ina maana kuwa walioka mkate kwanza # mtaiinua kwanza kama sadaka ya kuinuliwa "kuiinua kama sadaka" # sadaka iloiyoinuliwa kutoka mahali pa kupuria nafaka. Sadaka hii inafanywa kuwa sadaka kutoka mahali pa kupuria nafaka kwa sababu hapo ndipo mahali ambapo nafaka hutenganishwa na sehemu zingine za mmea.