sw_tn/mrk/15/16.md

17 lines
418 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kambini
Hii ni sehemu wanaokaa maaskari.
# kikosi
"Idadi kubwa" au "wengi"
# Wakamvika Yesu vazi la zambarau
Hii ilikuwa tendo la kejeli. Zambarau ilikuwa rangi inayoonesha mamlaka na kumvalisha ni namna ya kudhihaki cheo chake, "Mfalme wa Wayahudi."
# Wakaanza kumpigia kumdhihaki na kusema, "salaam, Mfalme wa Wayahudi!"
Maaskari walimdhihaki Yesu kwa sababu hawakuamini kwamba alikuwa Mfalme wa Wayahudi.