sw_tn/mrk/12/35.md

13 lines
340 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Je! Ni kwa jinsi gani waandishi husema Kristo ni mwana wa Daudi?
"Hawa watu hufundisha sheria ya kiyahudi lazima hawako sahihi wanaposema kwamba Kristo ni mtu tu wa kawaida wa uzao wa Mfalme Daudi!"
# mwana wa Daudi
Neno "mwana" limetumika hapa kuelezea ukoo.
# Ni kwa jinsi gani mwana wa Daudi?
"hivyo hawezi kuwa mwana wa Daudi!"