forked from WA-Catalog/sw_tn
9 lines
310 B
Markdown
9 lines
310 B
Markdown
|
# Ni rahisi kwa Ngamia kupita kwenye jicho la sindano, kuliko tajiri kuingia kwenye ufaulme wa Mungu.
|
||
|
|
||
|
Haiwezekani kwa Ngamia kuingia kwenye jicho la sindano. Ni ngumu zaidi kwa watu matajiri kuamua kumruhusu Mungu atawale maisha yao."
|
||
|
|
||
|
# Jicho la sindano
|
||
|
|
||
|
"Jicho la sindano" ni shimo lililo juu ya sindano.
|
||
|
|