sw_tn/mrk/10/20.md

25 lines
497 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Unapungukiwa kitu kimoja
"Kuna kitu kimoja unapngukiwa." Hapa Yesu anazungumza juu ya tendo la kutofanya kitu fulani" kama "kupungukiwa." "Kuna kimoja ambacho haujafanya"
# unapungukiwa
hauna kitu fulani
# uwape masikini
Hapa neno "u" urejea kwa vitu anavyouza na ni kifungu cha maneno kinachosimama badala ya pesa mtu anayopokea anapouza. "wape masikini pesa"
# masikini
Hii urejea kwa masikini. "watu masikini"
# hazina
"utajiri"
# alikuwa na miliki nyingi
"alimiliki vitu vingi"