sw_tn/mrk/09/36.md

21 lines
437 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# katikati yao
"miongoni mwao" Neno "mwao" urejea kwa umati
# Akamchukua katika mikono yake
Hii inamaanisha kuwa alimkumbatia mtoto au kumnyanyua na kumweka katika mapaja yake.
# mtoto kama huyu
"mtoto kama huyu"
# kwa jina langu
Hii inamaanisha kufanya kitu fulani kwa sababu ya upendo kwa Yesu. "kwa sababu wananipenda" au "kwa ajili yangu"
# aliyenituma
Hii urejea kwa Mungu aliyemtuma kwa ulimwengu. "Mungu amenituma mimi"