sw_tn/mrk/08/38.md

21 lines
585 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Katika kizazi hiki cha zinaa na dhambi
Yesu anazungumza juu ya kizazi hiki kama "wazizi" akimaanisha kwamba si waaminifu katika mahusiano yao na Mungu. "katika kizazi hiki cha watu waliojiingiza katika uzizi kinyume na Mungu na niwazinifu" au "katika kizazi hiki cha watu wasio waaminifu kwa Mungu na ni wenye dhambi"
# Mwana wa Adamu
Hili ni jina la muhimu sana kwa Yesu
# atakapokuja
"atakapokuja tena"
# katika utukufu wa Baba yake
Wakati ambapo Yesu anakuja atakuwa na utukufu ule ule kama wa Baba yake
# pamoja na malaika watakatifu
"atafuatana na malaika watakatifu"