forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
717 B
Markdown
21 lines
717 B
Markdown
|
# Sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
Yesu anarudi kwa mji wa nyumbani ambapo anakataliwa.
|
||
|
|
||
|
# mji wake wa nyumbani
|
||
|
|
||
|
Hii inarejea kwa mji wa Nazarethi ambao Yesu alikulia na familia yake inaishi. Hii hana maana ya kuwa anamiliki ardhi.
|
||
|
|
||
|
# Ni hekina gani aliyopewa?
|
||
|
|
||
|
Hili swali, ambalo lina muundo wa tulivu, inaweza kuulizwa katika kauli tendaji. "Hii ni hekima ya namna gani aliyopata?"
|
||
|
|
||
|
# kwamba anafanya kwa mikono yake
|
||
|
|
||
|
Haya maneno yanasisitiza kuwa Yesu mwenyewe anafanya miujiza.
|
||
|
|
||
|
# Huyu si seremala, kijana wa Mariamu, na ndugu yake Yohana na Yose na Yuda na Simoni? Dada zake zake hawapo hapa kati yatu?
|
||
|
|
||
|
Si huyu ni seremala, kijana wa Mariamu, na kaka yake Yohana na Yose na Yuda na Simoni? Dada zake hawapo hapa kati yetu?
|
||
|
|