forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
1.0 KiB
Markdown
29 lines
1.0 KiB
Markdown
|
# Na wengine ni wale waliopandwa katika miiba
|
||
|
|
||
|
Yesu anaanza kueleza kwa namna gani watu wanakuwa kama mbegu zinazoanguka kwenye miiba. "Na watu wengine wanakuwa kama mbegu zilizopandwa katika miiba"
|
||
|
|
||
|
# wanaujali ulimwengu
|
||
|
|
||
|
"masumbufu ya maisha" au "mambo yanayo husiana na maisha ya sasa"
|
||
|
|
||
|
# udanganyifu wa mali
|
||
|
|
||
|
"tamaa ya mali"
|
||
|
|
||
|
# huwaingia na kulisonga neno
|
||
|
|
||
|
Kama Yesu anavyoendelea kusema kuhusu watu walio kama mbegu zinazoanguka katika ya miiba, anaeleza tamaa na masumbufu yanavyofanya kwa neno katika maisha kama miiba inavyoisonga mimea midogo.
|
||
|
|
||
|
# halizai
|
||
|
|
||
|
"neno hakuna kuzaa tunda lolote katika wao"
|
||
|
|
||
|
# yule aliyepanda katika udongo mzuri
|
||
|
|
||
|
Yesu anaanza kueleza namna gani baadhi ya watu wako kama mbegu zilizopandwa katika udongo mzuri. "kama mbegu zilizopandwa katika udongo mzuri"
|
||
|
|
||
|
# baadhi thelathini, na baadhi sitini, na baadhi mia
|
||
|
|
||
|
Hii inarejea kwa nafaka ilitokana na mimea. "baadhi huzaa nafaka thelathini, baadhi nafaka sitini, na baadhi nafaka mia" au baadhi 30 nafaka, baadhi nafaka 60, na baadhi nafaka 100"
|
||
|
|