sw_tn/mrk/01/27.md

9 lines
288 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# waliulizana wao kwa wao, "Hiki ni nini? Mafundisho yaliyo na mamlaka?
Mwitikio wa watu unaweza kuandikwa na sentensi hizi badala ya maswali. "walisema wao kwa wao, "Hii ina shanganza! Anatoa mafundisho mapya, na huzungumza na mamlaka!"
# Pia ana amru
Neno "yeye" ulerejea kwa Yesu.