sw_tn/mat/25/01.md

21 lines
504 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaongea mfano wa wanawali wenyebusara na wale wanawali wajinga kufundisha kuwa wanafunzi wake wanapaswa kujiandaa kwa ajili y a kurudi kwa Yesu
# ufslme wa mbinguni utafananishwa na
Tazama 13:24
# Lamps.
Hizi ziliweza kuwa, 1.taa zenyewe au mienge iliyotengenezwa kwa kuwekewa kitambaa kuzunguka mwisho wa mti na hulowanishwa na mafuta.
# Watano kati yao.
Watano kati ya wanawali.
# Hawakuchukua mafuta yoyote.
"Waliyokuwa nayo ni yale tu yaliyokuwa katika taa zao."