sw_tn/mat/16/05.md

25 lines
641 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Mandhari yanabadilika nakuto[eleka wakati wa mbale. Yesu anatumia nafasi ya kuwaonya wanafunzi juu ya Mafarisayo na Masadukayo
# upande wa pili
upande wa pili wa ziwa au upande wa pili wa bahari ya Galilaya
# chachu ya Mafarisayo na Masadukayo
Hapa chachu inamaanisha mawazo macahfu na mafundisho yasiyo sahihi ya Mafarisayo Tazama 16:12.
# Wakahojiana miongoni mwao
wakajadiliana
# eneyi wenye imani ndogo
Ninyi mlio na imani ndogo Tazama 6:30
# kwa nini mnawaza... hamkuchukua mikate
Ninasikitika kuwa mnadhani kuwa mlisahau kuchukua mikate kwa sabasbu nimeongea juu ya chahu ya Mafarisayo na Masadukayo.