sw_tn/mat/13/10.md

37 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
Yesu anawaeleza wanafunzi wake kwa nini anafundisha kwa kutumia mifano
# kwao
Hapa"kwao" inamaanisha wanafunzi wa Yesu
# mmepewa upendeleo wa kufahamu siri za ufalme wa mbinguni bali kwao hawajapewa
Hii inaweza kutafasiriwa kwa kutumia muundo tendaji na kutumia taarifa zinazotolewa. " Mungu amewapa fursa ya kuelewa siri za ufalme wa mbinguni" lakini Mungu hajawapa siri hizi watu hawa" au " Mungu amewafnya ninyi kuzielwa siri za ufalme wa mbinguni lakini hajawafanya hawa tayri kuzielewa"
# mme
ni kiwakilishi cha wingi kinacho maanisha wanafunzi wa Yesu
# siri za ufalme wa mbinguni
Hapa"ufalme" inamaanisha utawala wa Mungu. Kirai"udalme wa mbinguni" kinaonekena kwenye kitabucha mathayo tu. Kama inawezekana jaribu kuiweka katika tafsiri y ako. "siri kuhusu Mungu wetu na utawala wake"
# yeyote aliye nacho
"yeyote aliye na ufahamu" au "yeyote anayepokea kile nanachofundisha"
# ataongezewa zadi
Hiiinaweza kutafsiriwa katika muundo tendaji. "Mungu atampatia ufahamu zaidi"
# ila asiye nacho
"asiye na ufahamu" au " asiyepokea hiki ninachofudisha"
# hata kile alicho nacho atanyang'anywa
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Mungu atakichukua hata kile alicho nacho"