sw_tn/luk/18/15.md

29 lines
958 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya kuunganisha:
Hili ni tukio linalofuata kwenye sehemu ya simulizi inayoanza Yesu anawakaribisha watoto na anazungumza nao.
# Akawagusa, lakini
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi tofauti. "akawagusa. Lakini"
# Wakawazuia
"Wanafunzi walijaribu kuwakataza wazazi wasiwalete watoto kwa Yesu"
# waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie
Hizi sentensi mbili zina maana inayofanana na zimewekwa pamoja ili kutia msisistizo. Lugha nyingine zinasisitiza kwa namna tofauti. "Mnatakiwa muwaache watoto wadogo waje kwangu."
# Ni wa kwao
"Ni wa watu waliokama hawa watoto"
# Amini nawaambia
"Hakika nawaambia." Yesu alitumia maelezo haya kusisitiza umuhimu wa alichokuwa anataka kukisema.
# mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto ni dhahiri hataingia
Mungu anataka watu wapokee ufalme wake kwa kuamini na unyenyekevu. "Yeyote anayetaka kuingia kwenye ufalme wa Munguataupokea kwa kuamini na unyenyekevu kama mtoto mdogo."