sw_tn/luk/17/11.md

41 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Habari kwa ujumla:
Hii ni sehemu ya pili ya hadithi. Yesu anaponya watu 10 wa ukoma. Mstari wa 11 na 12 unatoa taarifa za msingi na mazingira ya hadithi.
# Ikawa kwamba
maneno haya yametumika hapa kuonyesha mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi. Kama lugha yako ina njia kwa ajili ya kufanya hii, unaweza kufikiria kutumia hapa.
# na walipokua njiani kuelekea Yerusalemu
"kama Yesu na wanafunzi walipokuwa wakisafiri kwenda Yerusalemu"
# huko alikutana na watu kumi wenye ukoma
Hii inaweza semwa kama. "watu kumi wenye ukoma walikutana naye" au "watu kumi waliokuwa na ukoma walikutana naye"
# wakapaza sauti zao
kauli hii ina maana kusema kwa sauti kubwa. "wakamwita kwa sauti kubwa" au "wao kuita kwa sauti"
# Bwana
neno lililotafsiriwa hapa kama "Bwana" siyo neno la kawaida kwa "Bwana." Hii moja inahusu mtu ambaye ana mamlaka, na si kwa mtu ambaye anamiliki mtu mwingine.
# utuhurumie
Walikuwa hasa wanaomba kuponywa. "tafadhali tuonyeshe huruma na utuponye"
# alipokuwa akisafiri kwenda Yerusalemu
"kama Yesu na wanafunzi walikuwa wakisafiri kwenda Yerusalemu"
# kijiji kimoja
maneno haya haya elezei hicho kijiji.
# Nao wakasimama mbali mbali na yeye
Hii ilikuwa ishara ya heshima , kwa sababu wenye ukoma hawakuruhusiwa kukaribia watu wengine.