forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
1.2 KiB
Markdown
37 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Ujumbe wa kuunganisha:
|
||
|
|
||
|
wakati Yesu na wanafunzi wake waliporudi Galilaya upande mwingine wa ziwa, alimponya binti wa mtawala wa sinagogi mwenye miaka 12 na pia mwnamke aliyekuwa akitokwa na damu miaka 12.
|
||
|
|
||
|
# taarifa za jumla
|
||
|
|
||
|
Mistari hii inatupa taarifa za nyuma kuhusu Yairo.
|
||
|
|
||
|
# makutano wakamkaribisha
|
||
|
|
||
|
"Kwa furaha ya makutano wakamsalimia"
|
||
|
|
||
|
# Tazama akaja mtu mmoja anaitwa Yairo
|
||
|
|
||
|
Neno "Tazama" linatutazamisha sis kwa Yairo kama mtu mpya katika habari hii. lugha yako inaweza kukawa na njia nyingine ya kufanya hivi. "Kulikuwa na mtu aliyeitwa Yairo."
|
||
|
|
||
|
# mmoja kati ya viongozi katika sinagogi
|
||
|
|
||
|
"mmoja wa viongozi katika sinagogi la mtaa" au "'kiongozi wa watu walikutana kwenye sinagogi katika eneo hilo"
|
||
|
|
||
|
# akaanguka miguuni pa Yesu
|
||
|
|
||
|
1) "Alianguka kwenye miguu ya Yesu" au 2) "alilala chini kwenye ardhi katika miguu ya Yesu." Yairo akuanguka kwa ajali. alifanya vile kama ishara ya ubinadamu na heshima kwa Yesu.
|
||
|
|
||
|
# alikuwa katika hali ya kufa
|
||
|
|
||
|
"alikuwa katika hali ya kufa" au "alikuwa karibu na kifo"
|
||
|
|
||
|
# Na alipokuwa akienda
|
||
|
|
||
|
Watafsiri wengine wanaweza kusema kwanza, "Hivyo Yesu alikubali kwenda na yule mtu."
|
||
|
|
||
|
# makutano walikuwa wakimsukuma dhidi yake
|
||
|
|
||
|
"makutano walikuwa wakijaa kwa kubanana kumzunguka Yesu"
|
||
|
|