forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
1.0 KiB
Markdown
29 lines
1.0 KiB
Markdown
|
# kwanini unaangalia ... lakini huzingatii kijiti ambacho kimo kwenye jicho lako?
|
||
|
|
||
|
Yesu anatumia swali hili kuwapa watu changamoto kuzingatia dhambi zao wenyewe kabla hawajafuatilia dhambi za watu wengine. NI: "usiangalie ... lakini puuza kitiji ambacho kimo kwenye jicho lako"
|
||
|
|
||
|
# kibanzi kilichomo kwenye jicho la ndugu yako
|
||
|
|
||
|
Hii ni sitiari ambayo inarejea kwenye kosa dogo alilofanya muumini mwenzako.
|
||
|
|
||
|
# kipande cha kijiti
|
||
|
|
||
|
"doa" (UDB) au "kibanzi." Tumia neno kwa kitu kidogo ambacho kwa kawaida kinaingia kwenye jicho la mtu.
|
||
|
|
||
|
# ndugu
|
||
|
|
||
|
Hapa "ndugu" inanarejea kwa myahudi au muumini mfuasi wa Yesu.
|
||
|
|
||
|
# kijiti ambacho kimo kwenye jicho lako
|
||
|
|
||
|
Hii ni sitiari kwa kosa la mtu maarufu. kijiti hakiwezi kuingia kwenye kwenye jicho la mtu kilivyo. Yesu anasisitiza kwamba mtu awe makini kwa makosa yake mwenyewe kabla hajashughulikia makosa madogo ya mwingine.
|
||
|
|
||
|
# kijiti
|
||
|
|
||
|
"boriti " au "kigogo"
|
||
|
|
||
|
# Unawezaje kusema ... jicho?
|
||
|
|
||
|
Yesu anauliza swali hili kukosoa watu wazingatie dhambi zao kabla ya kufuatilia dhambi za wengine. NI: "Usiseme ... jicho"
|
||
|
|