sw_tn/lev/18/21.md

13 lines
443 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa watu kisichowapasa kukifanya ambacho kingewachafua wao.
# Msiwatoe watoto wenu ili kuwapitisha kwenye moto
Kile kirai "kuwapitisha kwenye moto" humaanisha kuwachoma kitu kwa moto kwa dhabihu. : "Msiwachome moto wato wenu wangali hai"
# msije mkalikufuru jina la Mungu wenu
"KNeno "kukufu" hapa ni kufedhehesha. Neno "jina" humwakilisha Mungu mwenyewe. : "msimfedheheshe MUngu wenu."