sw_tn/lev/16/14.md

17 lines
483 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# damu ya fahali
Tazama maelezo ya sura 16:11
# kuinyunyiza kwa kidole chake
Alitumia kidole chake kurushia damu
# upande wa mbele wa kifuniko cha upatanisho
Aliiweka hiyo damu upande wa juu wa kifuniko. pia aliiweka upande wa pembeni mwa kifuniko uliomwelekea alipoingia eneo la patakatifu pa patakatifu
# mbele za kifuniko cha upatanisho
Maana zinazo wezekani ni 1) "chini ya kifuniko cha upatanisho kenye sanduku" au 2) ardhini chini ya mbele ya kifuniko cha upatanisho."