# damu ya fahali Tazama maelezo ya sura 16:11 # kuinyunyiza kwa kidole chake Alitumia kidole chake kurushia damu # upande wa mbele wa kifuniko cha upatanisho Aliiweka hiyo damu upande wa juu wa kifuniko. pia aliiweka upande wa pembeni mwa kifuniko uliomwelekea alipoingia eneo la patakatifu pa patakatifu # mbele za kifuniko cha upatanisho Maana zinazo wezekani ni 1) "chini ya kifuniko cha upatanisho kenye sanduku" au 2) ardhini chini ya mbele ya kifuniko cha upatanisho."