sw_tn/lev/12/07.md

13 lines
509 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# naye atatakaswa kutokana kutiririka kwa damu yake
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "na hili litamtakasa kutoka katika kutokwa na damu kwake kunaoendelea wakati wa kuzaliwa kwa mtoto.
# kama hana uwezo wa kutoa mwana-kondoo
Fasiri sentensi hii ili kuweka wazi kutokuweza kwa mwanamke kununua dhabihu ya mnyama. : "Iwapo hana fedha ya kutosha kukunulia mwana-kondoo"
# naye atakuwa safi
Mwanamke ambaye watu wengine wangeweza kumgusa anazungumziwa kana kwamba alikuwa safi kimaumbile.