# naye atatakaswa kutokana kutiririka kwa damu yake Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "na hili litamtakasa kutoka katika kutokwa na damu kwake kunaoendelea wakati wa kuzaliwa kwa mtoto. # kama hana uwezo wa kutoa mwana-kondoo Fasiri sentensi hii ili kuweka wazi kutokuweza kwa mwanamke kununua dhabihu ya mnyama. : "Iwapo hana fedha ya kutosha kukunulia mwana-kondoo" # naye atakuwa safi Mwanamke ambaye watu wengine wangeweza kumgusa anazungumziwa kana kwamba alikuwa safi kimaumbile.