sw_tn/lev/08/22.md

13 lines
392 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kondoo wa kuwekwa wakfu
Neno "kuweka wakfu" ni nomino dhahania. : "kondoo kwa ajili ya kuwatenga Aroni na wanawe kwa ajili ya huduma ya Mungu"
# wakaweka mikono yao juu ya kichwa
Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 1:3
# naye akaweka sehemu ya damu ya kondoo
Inaonesha kwamba Musa aliikinga damu kwenye bakuli wakati ilipochuruzika kutoka kwa mnyama. Maana yake yaweza kuwekwa wazi