# kondoo wa kuwekwa wakfu Neno "kuweka wakfu" ni nomino dhahania. : "kondoo kwa ajili ya kuwatenga Aroni na wanawe kwa ajili ya huduma ya Mungu" # wakaweka mikono yao juu ya kichwa Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 1:3 # naye akaweka sehemu ya damu ya kondoo Inaonesha kwamba Musa aliikinga damu kwenye bakuli wakati ilipochuruzika kutoka kwa mnyama. Maana yake yaweza kuwekwa wazi