sw_tn/lam/04/01.md

21 lines
426 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Shairi lipya la anza.
# Mawe matakatifu
mawe yaliyo unda hekalu
# katika kila njia ya mtaa
Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:18
# Wana wa Sayuni
Maana inayo wezekana ni 1) Wanaume wadogo wa Yerusalemu au 2) watu wote wa Yerusalemu.
# lakini sasa hawana thamani zaidi ya majagi ya udogo, kazi ya mikono ya mfinyazi!
"watu wali wachukulia kuwa si kitu kama vishungu vya udogo wafinyazi wanavyo tengeneza!"