# Maelezo ya Jumla Shairi lipya la anza. # Mawe matakatifu mawe yaliyo unda hekalu # katika kila njia ya mtaa Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:18 # Wana wa Sayuni Maana inayo wezekana ni 1) Wanaume wadogo wa Yerusalemu au 2) watu wote wa Yerusalemu. # lakini sasa hawana thamani zaidi ya majagi ya udogo, kazi ya mikono ya mfinyazi! "watu wali wachukulia kuwa si kitu kama vishungu vya udogo wafinyazi wanavyo tengeneza!"