sw_tn/lam/03/51.md

21 lines
405 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Macho yangu yana ni sababishia uzuni
"Ninacho kiona kina ni sababisha maumivu"
# mabinti wa mji wangu
Maana inayo wezekana ni 1) wanawake wa Yerusalemu au 2) wakazi wote wa Yerusalemu.
# Wamenitupa kwenye shimo
"Wameniua kwa kunizamisha kwenye kisima"
# wakanitupia jiwe
Maana inayo wezekana ni 1) "wametupa mawe" au 2) "wamefunika kisima kwa jiwe."
# Nimekatwa mbali
"Nimeuawa" au "Nimezama"