# Macho yangu yana ni sababishia uzuni "Ninacho kiona kina ni sababisha maumivu" # mabinti wa mji wangu Maana inayo wezekana ni 1) wanawake wa Yerusalemu au 2) wakazi wote wa Yerusalemu. # Wamenitupa kwenye shimo "Wameniua kwa kunizamisha kwenye kisima" # wakanitupia jiwe Maana inayo wezekana ni 1) "wametupa mawe" au 2) "wamefunika kisima kwa jiwe." # Nimekatwa mbali "Nimeuawa" au "Nimezama"