sw_tn/jos/19/47.md

13 lines
308 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Leshemu
Hili ni jina la mji
# Huu ulikuwa urithi wa kabila la Dani,
Nchi na miji ambayo kabila la Dani liliipokea inasemwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu,
# waliopewa kufuatana na koo zao
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambayo Yoshua aliwapa kwa koo zao