sw_tn/jos/18/17.md

13 lines
344 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Eni Shemeshi...Gelilothi...Adumimu...Bethi Araba
Haya ni majina ya sehemu/mahali
# Jiwe la Bohani
Hili lilikuwa ni jiwe kubwa ambalo mtu fulani aliliweka kama alama na liliitwa kwa jina la mtu aliyeitwa Bohani.
# bega la Bethi Araba
Nchi ambayo ina mteremko au mgongo ulioinama inasemwa kana kwamba ni bega. "Mteremko wa Bethi Araba"