sw_tn/jhn/21/intro.md

13 lines
334 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Yohana 21 Maelezo ya Jumla
### Mifano muhima ya usemi katika sura hii
#### Mifano
Yesu anatumia mifano mingi ya uchungaji. Kwa mfano, "kulisha kondoo wangu," "chunga kondoo wangu" na "kulisha kondoo wangu." Petro sasa angekuwa mchungaji wa watu wa Mungu.
## Links:
* __[John 21:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../20/intro.md) | __