sw_tn/jhn/13/intro.md

31 lines
1.4 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Yohana 13 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Matukio ya sura hii hujulikana kama chakula cha jioni la mwaisho au Meza ya Bwana. Sikukuu ya Pasaka kwa njia nyingi inafanana na dhabihu ya Yesu kama kondoo wa Mungu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/passover)
### Dhana maalum katika sura hii
#### "Kuosha miguu ya wanafunzi"
Miguu ilioneka kuwa chafu sana katika inchi ya kale ya Mashariki ya Karibu. Ilikuwa ni kawaida mtumishi kuwa na jukumu la kuosha miguu ya bwana wake. Hatua hii ingechukuliwa kuwa cha aibu kwake Yesu, na ndiyo sababu wanafunzi hawakutaka afanye hivyo. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)
#### Kuosha
Taswira ya kuosha hutumiwa hapa usiku wa kifo cha Yesu. Ni Yesu ambaye anaweza kuwasafisha watu. Taswira hii inawakilisha uwezo wa "kufanya haki." (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/clean]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous).
#### Mimi ndimi
Yohana anatumia maneno haya mara saba katika injili yake. Ni maneno sawa yanayotumiwa na Mungu, alipojidhihirisha pamoja na jina lake Yahweh katika kichaka kilichokuwa kinawaka. Jina "Yahweh" linaweza kutafsiriwa kama "kama Mimi ndimi." (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/reveal)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### "Mwana wa Binadamu"
Yesu anajiita mwenyewe kama "Mwana wa Binadamu." Lugha zingine haziwezi kuruhusu mtu kujitaja mwenyewe kama 'mtu wa tatu.'
## Links:
* __[John 13:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../12/intro.md) | [>>](../14/intro.md)__