sw_tn/jhn/03/27.md

17 lines
368 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mtu hawezi kupokea kitu chochote isipokuwa
"Hakuna mtu aliye na nguvu isipokuwa"
# amepewa kutoka mbinguni
Neno "mbinguni" likimaanisha Mungu. Hili linaweza kuchukuliwa katika muundo tenda. " Mungu amempa."
# ninyi wenyewe
ninyi ni kwa wingi na inamaanisha watu wote ambao Yohana anazungumza nao.
# nimetuma mbele zake
"Mungu amenituma kufika kabla yake."