sw_tn/jer/38/04.md

13 lines
315 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Atafanya mikono ya wapiganaji waliobaki mjini kuwa dhaifu, ma mikono ya watu wote
"atasababisha askari na watu wa mji kupotezaujasiri"
# Kwa kuwa mtu huyu hawapi usalama watu hawa bali maafa
"kwa sababu Yeremia hawasaidii watu bali anawaumiza watu"
# Tazama yuko mikononi mwenu
"Tazama, mna nguvu juu yake"