# Atafanya mikono ya wapiganaji waliobaki mjini kuwa dhaifu, ma mikono ya watu wote "atasababisha askari na watu wa mji kupotezaujasiri" # Kwa kuwa mtu huyu hawapi usalama watu hawa bali maafa "kwa sababu Yeremia hawasaidii watu bali anawaumiza watu" # Tazama yuko mikononi mwenu "Tazama, mna nguvu juu yake"